Wednesday, May 14, 2025
Home Makala Kaze Abwaga Manyanga Namungo Fc

Kaze Abwaga Manyanga Namungo Fc

by Sports Leo
0 comments

Kocha mkuu wa klabu ya Namungo Cedric Kaze ametangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo ya Kusini mwa Tanzania bila kuweka wazi sababu hasa za kujiuzuru ukocha mkuu wa klabu hiyo pendwa kusini mwa Tanzania.

Hata hiyo pamoja na kutotaja sababu rasmi za kujiuzuru kwake lakini tayari inafahamika kuwa kocha huyo alikua na wakati mgumu klabuni hapo kutokana na kuwa na mfululizo wa matokeo mabovu tangu awe kocha mkuu.

Katika michezo ya ligi kuu ya Nbc Namungo imecheza jumla ya michezo sita huku ikiambulia sare tatu n avipigo vitatu hasa kile cha mabao 3-2 kutoka kwa Singida Big Stars.

banner

Katika msimamo wa ligi kuu nchini Namungo Fc ipo nafasi ya 14 ikiwa na alama tatu pekee katika michezo sita ya ligi kuu nchini.

You may also like

Leave a Comment

Soledad is the Best Newspaper and Magazine WordPress Theme with tons of options and demos ready to import. This theme is perfect for blogs and excellent for online stores, news, magazine or review sites.

Buy Soledad now!

Edtior's Picks

Latest Articles

u00a92022u00a0Soledad.u00a0All Right Reserved. Designed and Developed byu00a0Penci Design.