All posts tagged "ligi kuu"
-
Soka
/ 3 days agoStars Yaichapa Mongolia
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki wa Fifa Series dhidi...
-
Makala
/ 3 days agoAl Hilal Kulipa Mamilioni Kushiriki Npl
Klabu ya Al Hilal ya Sudan itawalazimu kuingia mfukoni na kulipa mamilioni ya fedha kwa ajili ya kikosi cha wachezaji 38...
-
Soka
/ 2 weeks agoYanga Sc Yajichimbia Kileleni Nbc
Klabu ya Yanga sc imezidi kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kuu nchini baada ya kupata ushindi wa 1-0 katika mchezo...
-
Soka
/ 2 weeks agoJulio Atambulishwa Rasmi Singida Fg
Kocha Jamhuri Kihwelu ametambulishwa kama kocha mkuu wa klabu ya Singida Fountain Gate Fc akichukua nafasi ya kocha Thabo Senong ambaye...
-
Soka
/ 2 weeks agoSimba sc Yainyuka Singida Fg
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuibuka na alama tatu muhimu katika mchezo dhidi ya Singida Fountain Gate uliofanyika katika uwanja wa...
-
Soka
/ 2 weeks agoAzam Fc Vs Yanga sc Kufanyika B/mkapa
Serikali kupitia Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo imekubali ombi la klabu ya Azam Fc kutumia uwanja wa Benjamini Mkapa katika michezo...
-
Soka
/ 3 weeks agoNzengeli Kuikosa Namungo Fc
Kikosi cha klabu ya Yanga sc kimewasili mkoani Mtwara mapema mchana wa leo kwa ndege ya kukodi tayari kwa mchezo wa...
-
Makala
/ 3 weeks agoSingida FG Yatimua Kocha
Klabu ya Singida Fountain Gate Fc imetimua benchi la ufundi lililokua chini ya kocha Thabo Senong kutokana na mfululizo wa matokeo...
-
Soka
/ 3 weeks agoSimba Sc Yafungwa na Wajelajela
Klabu ya Simba sc imekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tanzania Prisons Fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri...
-
Soka
/ 3 weeks agoSimba Sc Rasmi Yahamia Moro
Klabu ya Simba sc sasa imetangaza kuwa itautumia uwanja wa Jamhuri ulioko mkoani Morogoro kama uwanja wake wa nyumbani kutokana na...