Connect with us

Makala

Alliance Fc Yatoa Tuzo Kwa Wawili

Uongozi wa Alliance Fc umeendelea kutoa tuzo kwa wachezaji wake ili kungeza morali ya wachezaji kufanya vizuri kenye mechi zao za ligi kuu bara.

Wachezaji waliopokea tuzo jana kwa kufanya vizuri mwezi Novemba na Desemba ni Geofrey Luseke na David Richard ambao pia walikuwa miongoni mwa kikosi kilichopoteza mbele ya Simba kwa kufungwa mabao 4-1.

David Richard amepokea tuzo ya mchezaji bora mwezi Desemba huku Geofrey Luseke akipokea tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Novemba.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala