Connect with us

Soka

Azam Fc Yapindua Meza

Klabu ya Azam Fc imekamilisha usajili wa beki Edward Charles Manyama akitokea klabu ya Ruvu shooting kwa mkataba wa miakam mitatu.

Taarifa hizo za kukamilika kwa usajili wa mchezaji huyo zimekuja ghafla baada ya awali kusambaa kwa taarifa kwamba mchezaji huyo amesajiliwa na Simba sc huku Yanga sc na Azam Fc zikiachwa kwenye mataa.

Hata hivyo jana zilisambaa picha huku Azam Fc wakithibitisha kumalizana na mchezaji huyo ambaye atakaa hapo mpaka mwaka 2024.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka