Connect with us

Soka

TFF Yatoa Ufafanuzi Fedha za Caf

Shrikisho la soka nchini Tff limetoa ufafanuzi kufuatia uvumi wa Rais wa Shirikisho hilo kupata mgao kutoka Shirikisho la soka barani Afrika caf ambapo kiasi cha fedha kimesekana ni maalumu kwa ajili ya Rais wa Shirikisho hilo.

Taarifa kutoka Tff imetoa ufafanuzi kuhusu fedha hizo na jinsi zilivyotumika.Soma taarifa hiyo hapo chini.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka