Connect with us

Makala

Mtibwa Sugar, Back Home

Mtibwa Sugar waanza safari yao leo ya kurejea Morogoro baada ya mchezo wao dhidi ya Coastal union ya Tanga kusitishwa kutokana na ligi kusimamishwa na waziri mkuu Kassim Majaliwa siku ya jana.

Ofisa habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema  wanajiandaa ili kuanza safari kurejea Morogoro baada ya ligi  kuu kusimamishwa kutokana na virusi vya Corona vilivyoingia nchini.

“Tumepokea taarifa kuhusu kusimamishwa kwa Ligi Kuu Bara kutokana na kupambana na ugonjwa wa virusi vya Corona hivyo hatupingi tunatekeleza agizo bila hiyana na tunawaomba watanzania wachukue tahadhari,”alisema Thobias

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala