All posts tagged "mtibwa sugar"
-
Soka
/ 4 months agoChasambi Rasmi Simba Sc
Klabu ya Simba sc imemtambulisha rasmi kinda Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wa klabu hiyo baada ya kufanikiwa kununua...
-
Soka
/ 4 months agoYanga sc Yaizamisha Mtibwa Sugar
Klabu ya Yanga sc imerudi kwa kasi katika ligi kuu nchini baada ya kuibamiza Mtibwa Sugar kwa mabao 4-1 na kuendelea...
-
Soka
/ 4 months agoKatwila Aitisha Yanga sc
Kocha Zubeiry Katwila ameipa vitisho klabu ya Yanga sc kuwa yuko tayari kupambana katika mchezo wa ligi kuu utakaofanyika siku ya...
-
Soka
/ 5 months agoKumpata Chasambi 100m
Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar Fc imetangaza kuwa dau la kumsajili kinda wa klabu hiyo Ladack Chasambi ni shilingi za...
-
Makala
/ 6 months agoMtibwa Sugar Yaonja Ushindi
Mtibwa Sugar ikiwa chini ya kocha wake Mpya Zubeir Katwila imeichapa Geita Gold kichapo cha mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi...
-
Makala
/ 6 months agoKatwila Arudi Mtibwa Sugar
Sasa ni rasmi kocha Zubeiry Katwila amerudi katika klabu yake iliyomtoa ya Mtibwa Sugar baada ya kuachana nayo miaka mitatu iliyopita...
-
Makala
/ 6 months agoMtibwa Sugar Watimua Kocha
Uongozi wa klab ya Mtibwa sugar umefikia maamuzi ya kuachana na Aliyekuwa kocha wao Mkuu Habib kondo baada ya kuwa na...
-
Makala
/ 2 years agoKMC Yazindukia kwa Mtibwa Sugar
Klabu ya Kmc imefanikiwa kuzinduka kutoka usingizini na kuichapa Mtibwa sugar kwa mabao 3-2 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika...
-
Makala
/ 2 years agoNdemla Aikoa Mtibwa Sugar
Kiungo wa klabu ya Mtibwa Sugar Said Ndemla ameikoa klabu yake kukosa alama tatu baada ya kufanikiwa kufunga bao katika ushindi...
-
Soka
/ 2 years agoMshery Azua Kizaazaa Jangwani
Klabu ya Yanga sc imeinia matatani kufuatia sakata la usajili wa Kipa Aboutwalib Mshery ambapo klabu yake ya zamani ya Mtibwa...