Connect with us

Soka

10 kuwania tuzo ya mchezaji chipukizi 2021

Wachezaji kinda 10 wametajwa kuwania tuzo ya mchezaji chipukizi kwa mwaka 2021 na jarida la French magazine huku mchuano mkali ukitazamiwa kuwa kati ya Pedri wa Barcelona,Bukayo Saka wa Arsenal na Jude Bellingham wa Dortmund.

Tuzo hiyo inashikiliwa na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa na PSG Kylian Mbappe aliyeshinda mwaka 2020.

Majina kamili ya walioingia katika kinyanganyiro ni kama ifuatavyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka