All posts tagged "usajili"
-
Makala
/ 9 months agoYusufu Kagoma Atua Simba Sc
Baada ya tetesi kuwa amesaini timu mbili,Hatimaye klabu ya Simba Sc imemtambulisha rasmi kiungo Yussufu Kagoma kama mchezaji mpya wa timu...
-
Makala
/ 9 months agoBeki Mkongo Rasmi Yanga sc
Klabu ya Yanga sc imemtambulisha rasmi Beki Chadrack Boka baada ya kumsajili kwa mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo akitokea...
-
Makala
/ 9 months agoMbadala ya Zimbwe,Mzamiru Watambulishwa Simba Sc
“Msimu bora Uanze” Ndio kauli inayosikika vijiweni kutokana na usajili kabambe ambao klabu ya Simba Sc imeufanya mpaka sasa ikiwasajili mastaa...
-
Makala
/ 9 months agoMshery Asaini Mitatu Yanga Sc
Klabu ya Yanga sc imemfunga kipa AbouTwalib Msheri kusalia klabuni hapo kwa miaka mitatu zaidi baada ya mkataba wake wa awali...
-
Makala
/ 9 months agoKibabage Asaini Yanga sc mpaka 2027
Klabu ya Yanga sc imemsainisha mkataba mrefu wa miaka mitatu staa wake Nickson Kibabage kuendelea kukipiga klabuni hapo baada ya kumaliza...
-
Makala
/ 9 months agoMnigeria Njiani Kutua Simba Sc
Nyota wa Klabu ya Rivers United Augustine Okejepha yupo njiani kuja Tanzania kwa ajili ya kujiunga na mabingwa wa zamani wa...
-
Makala
/ 10 months agoMvp wa Ivory Coast Atua Simba sc
Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa kiungo Mshambuliaji Ahoua Jean Charles kutokea klabu ya Stella Club Abijani ya nchini Ivory...
-
Makala
/ 10 months agoDiarra Kukaa Jangwani mpaka 2027
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kumuongezea mkataba mpya wa miaka miwili kipa wake namba moja Djigui Diarra mpaka mwaka 2027 ikihofiwa...
-
Makala
/ 10 months agoSimba Sc Yasajili Straika la Mabao
Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Uganda Stephen Mukwala kwa mkataba wa miaka miwili akiwa huru baada...
-
Makala
/ 10 months agoFarid Mussa Asalia Yanga sc
Kiungo Farid Mussa wa Yanga sc amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kusalia klabuni hapo baada ya ule wa awali kumaliziki...