All posts tagged "usajili"
-
Soka
/ 1 year agoMoloko Atua Libya
Siku chache baada ya kuachana na klabu ya Yanga sc winga Jesus Moloko ameamua kujiunga na klabu ya Al Sadaqa SC...
-
Soka
/ 1 year agoYanga Sc Kumtambulisha Guede Rasmi
Mabosi wa klabu ya Yanga sc wamepanga kumtambulisha mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Joseph Guede katika mchezo wa kombe la shirikisho...
-
Soka
/ 1 year agoSimba Sc Yamnasa Balua
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha mchezaji Edwin Balua kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo ikimsajili kutoka klabu ya Tanzania Prisons inayoshiriki...
-
Soka
/ 1 year agoYanga Sc Yaachana na Moloko,Konkoni
Klabu ya Yanga sc imeamua kuachana na mastaa wake wawili jesus Moloko na Hafidh Konkoni kutokana na kocha Miguel Gamondi kutoridhishwa...
-
Soka
/ 1 year agoYanga Sc Yashusha Mashine ya Magoli
Klabu ya Yanga sc imemtambulisha mshambuliaji Joseph Guede kama usajili wake wa mwisho wa dirisha dogo la usajili msimu huu akiwa...
-
Soka
/ 1 year agoNamungo Yafunga Usajili na Kagere
Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Singida Fountain Gate Fc Meddie kagere amejiunga na klabu ya Namungo yenye maskani yake mkoani Mtwara...
-
Soka
/ 1 year agoLusajo,Ame Watua Mashujaa Fc
Klabu ya Mashujaa Fc ya mkoani Kigoma imekamilisha usajili wa mastaa wawili wa nguvu Ibrahim Ame na Reliants Lusajo kuja kuongeza...
-
Soka
/ 1 year agoStraika Mkongo Anukia Yanga sc
Klabu ya Yanga sc ipo mbioni kukamilisha usajili wa mchezaji Glody Kilangalanga ambaye anaitumia klabu ya Bisha Fc inayoshiriki ligi daraja...
-
Soka
/ 1 year agoChasambi Rasmi Simba Sc
Klabu ya Simba sc imemtambulisha rasmi kinda Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wa klabu hiyo baada ya kufanikiwa kununua...
-
Soka
/ 1 year agoStraika Mzimbabwe Atua Simba sc
Kocha Abelhack Benchika wa klabu ya Simba Sc amewaigiza mabosi wa klabu hiyo kukamilisha haraka usajili wa staa wa Chicken Inn...