All posts tagged "usajili"
-
Makala
/ 19 hours agoTFF Yapiga Nyundo Viwanja Vitatu
Shirikisho la soka nchini imeamua kuvifungia viwanja vya CCM Kirumba,Jamhuri Pamoja na CCM Liti uliopo mjini Singida kutokana na kuwa na...
-
Makala
/ 3 weeks agoFedha Kuamua Hatma ya Ngoma Simba Sc
Wakala wa kiungo wa klabu ya Simba Sc Fabrice Ngoma Airways Faustine Mkandila amesema kuwa fedha ndio kitu ambacho kitaamua hatma...
-
Makala
/ 4 weeks agoWaziri Jr Atua Iraq
Mshambuliaji wa timu ya Dodoma Jiji Fc Wazir Jr Shentembo amejiunga na Al Mina’a FC inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Iraq...
-
Makala
/ 1 month agoMwalimu Ajiunga Rasmi Wydad Athletic
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Wydad Athletic Club Selemani Mwalimu tayari ameondoka nchini kuelekea nchini Morocco kujiunga na kambi ya timu...
-
Makala
/ 1 month agoSingida Black Stars Washangaa Miloud Kutua Yanga Sc
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kushtushwa na taarifa ya kocha wake Hamdi Miloud kujiunga na klabu ya Yanga sc kutokana...
-
Makala
/ 1 month agoRamovic Asepa Yanga Sc
Klabu ya Yanga sc imetangaza kuachana na kocha wake Sead Ramovic kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kuafikiana kuvunja...
-
Makala
/ 1 month agoMorrison Bado Sana
Pamoja na shauku ya mashabiki wa klabu ya Kengold Fc kumuona uwanjani mshambuliaji wao mpya Bernard Morrison itawalazimu kusubiri kwa muda...
-
Makala
/ 1 month agoRashford Atua Aston villa
Klabu ya Aston Villa imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Marcus Rashford raia wa England kwa mkopo mpaka mwishoni mwa msimu huu...
-
Makala
/ 1 month agoWydad Ac Yamsajili Mwalimu
Klabu ya soka ya Wydad Athletic Club imefanikiwa kuinasa saini ya mshambuliaji Selemani Mwalimu kutoka klabu ya Singida Black Stars baada...
-
Makala
/ 1 month agoSingida Bss Kuishtaki Gormahia Fc
Klabu ya Singida Black Stars ina mpango wa kuipeleka klabu ya Gor Mahia kwenye shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya...