Connect with us

All posts tagged "simba sc"

  • Simba Yajichimbia Kileleni

    Timu ya soka ya Simba sc imeendelea kusimama kileleni mwa ligi kuu ya soka Tanzania bara baada ya kuibuka na ushindi...

  • Kocha Simba Anukia Polokwane City

    Baada ya kocha wa Simba Patrick Aussems kuwasili leo usiku habari za ndani zinadai Aussems hakuwa Belgium kwao, bali alikuwa nchini...

  • Aussems Kama Kawa

    Licha ya kuzagaa kwa tetesi za kusitishiwa ajira yake kunako klabu ya Simba sc kocha Patrick Aussems ameendelea kuinoa timu hiyo...

  • Tisa Kutemwa Msimbazi

    Klabu ya Simba ipo mbioni kuachana na mastaa wasiopungua tisa katika kikosi cha sasa wakati wa dirisha dogo mwezi ujao. Wachezaji...

  • Kaduguda Ndani Ya Msimbazi

    Klabu ya Simba imemteua Mwina Kaduguda kushika wadhifa wa kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo baada ya Swedi Nkwambi kujiuzulu wadhifa huo...

  • Je Wajua?

    Dirisha dogo la usajili kwa msimu huu wa 2019/20 litafunguliwa Disemba 16 2019 na kufungwa January 15 2019 Ilizoeleka dirisha hilo...

  • Aussem Kurejea Kesho

    Kocha mkuu wa klabu ya Simba sc Patrick Aussems anatarajiwa kurejea nchini kesho akitokea nchini Ubelgiji ambapo alichukua ruhusa maalumu ya...

  • Aussem Atimka Simba sc

    Kocha Mkuu wa klabu ya Simba Patrick Aussems ameondoka leo asubuhi kuelekea nyumbani nchini Ubelgiji kwa kile kilichoelezwa kuwa ana matatizo...

  • Wabrazil Simba Lawamani

    Kufuatia kipigo cha mabao 2-1 walichokutana nacho simba sc dhidi ya Kmc hapo jana katika uwanja wa Chamazi baadhi ya wadau...

  • Manula- Sina Tatizo na Ndayiragije

    Imeelezwa kuwa kipa wa klabu ya Simba, Aishi Manula amesema anaheshimu maamuzi ya kocha Mrundi, Ettiene Ndayiragije kutomuita katika kikosi cha...

More Posts