Connect with us

Makala

Balama Amuweka Matatani Manula

Aishi Manula ambaye ni mlinda mlango wa Simba Sc hajakaa langoni kwenye klabu hiyo tangu alipodaka katika mchezo wa ligi wa Simba dhidi ya Yanga Januari 4, 2020.
Hii ni kutokana na Manula kulalamikiwa na mashabiki kuruhusu bao la pili alilofungwa na kupelekea mchezo kuisha kwa sare ya maba0 2-2 na hadi sasa tangu mchezo huo, imepita jumla ya michezo tisa hajakaa golini na nafasi yake ikichukuliwa na Beno Kakolanya.
Ikiwa ndiye mlinda mlango namba moja wa Taifa Stars kwa sasa Manula anaumizwa na suala hilo kwani linahatarisha nafasi yake katika kikosi cha Simba pamoja na timu ya Taifa.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala