All posts tagged "Namungo fc"
-
Soka
/ 11 months agoChama,Inonga Kuwakosa Namungo Fc
Klabu ya Simba sc itawakosa mastaa wake Cletous Chama na Henock Inonga sambamba na mastaa wengine kama Saido Ntibanzokiza,Luis Miqquisone na...
-
Soka
/ 1 year agoZahera Atua Namungo Fc
Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera amejiunga na Klabu ya Namungo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo...
-
Soka
/ 1 year agoSimba sc Yaponea Chupuchupu
Klabu ya Simba sc imeponea chupuchupu kukosa alama tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc baada ya kulazimika...
-
Soka
/ 1 year agoWatatu Simba sc Kuikosa Namungo Fc
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally kuelekea mchezo wa Simba wa Ligi Kuu dhidi yq...
-
Makala
/ 1 year agoSimba Sc Yaisubiri Namungo Fc
Klabu ya Simba sc kesho inatarajiwa kumalizia hasira kwa Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini utakaofanyika katika...
-
Makala
/ 1 year agoAzam Fc Aibu Tupu
Ni aibu baada ya klabu ya Azam Fc kukubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Namungo Fc katika uwanja wa nyumbani...
-
Makala
/ 1 year agoHapatoshi Namungo Ikiwasili Kagera
Klabu ya Namungo Fc maarufu kama Wauaji wa Kusini tayari wamewasili mjini Bukoba kwa ajili ya mchezo dhidi ya Kagera sugar...
-
Makala
/ 1 year ago“Hatuwaogopi Yanga sc”-Kaze
Kocha mkuu wa Namungo Fc,Cedric Kaze amesema licha ya Yanga Sc kuwa kwenye kiwango bora ila yeye kama mkuu wa benchi...
-
Makala
/ 1 year agoMwamnyeto Arejea Yanga sc
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Sc Ali Kamwe ameweka wazi kuwa nahodha wa klabu hiyo...
-
Makala
/ 2 years agoSimba sc Yawasili Ruangwa
Klabu ya Simba sc imewasili salama mkoani Mtwara katika wilaya ya Ruangwa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya...