All posts tagged "Namungo fc"
-
Makala
/ 1 month agoNamungo Fc Yatua kwa Mgunda
Klabu ya Namungo Fc inasemekana iko mbioni kuachana na kocha Mwinyi Zahera ambapo sasa imeamua kutua kwa kocha Juma Mgunda kuionoa...
-
Makala
/ 1 month agoC.E.O Namungo Akimbia Vipigo
Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Namungo Fc Omary Kaya ameamua kujiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na vipigo mfululizo ambavyo timu...
-
Makala
/ 2 months agoTabora United Yavuna Alama 3 Namungo
Klabu ya Tabora United imeibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Namungo mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa leo...
-
Soka
/ 6 months agoChama,Inonga Kuwakosa Namungo Fc
Klabu ya Simba sc itawakosa mastaa wake Cletous Chama na Henock Inonga sambamba na mastaa wengine kama Saido Ntibanzokiza,Luis Miqquisone na...
-
Soka
/ 10 months agoZahera Atua Namungo Fc
Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera amejiunga na Klabu ya Namungo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo...
-
Soka
/ 11 months agoSimba sc Yaponea Chupuchupu
Klabu ya Simba sc imeponea chupuchupu kukosa alama tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc baada ya kulazimika...
-
Soka
/ 11 months agoWatatu Simba sc Kuikosa Namungo Fc
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally kuelekea mchezo wa Simba wa Ligi Kuu dhidi yq...
-
Makala
/ 11 months agoSimba Sc Yaisubiri Namungo Fc
Klabu ya Simba sc kesho inatarajiwa kumalizia hasira kwa Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini utakaofanyika katika...
-
Makala
/ 12 months agoAzam Fc Aibu Tupu
Ni aibu baada ya klabu ya Azam Fc kukubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Namungo Fc katika uwanja wa nyumbani...
-
Makala
/ 1 year agoHapatoshi Namungo Ikiwasili Kagera
Klabu ya Namungo Fc maarufu kama Wauaji wa Kusini tayari wamewasili mjini Bukoba kwa ajili ya mchezo dhidi ya Kagera sugar...