Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Crdb nchini baada ya kuifunga klabu ya Jkt Tanzania kwa mabao 2-0 katika mchezo …
jkt tanzania
-
-
Kikosi cha klabu ya Yanga Sc kimeanza safari leo Mei 16Â kuelekea Mkoani Tanga leo Asubuhi Mei 16 , 2025 na tayari kimewasili mchana huu kwa ajili ya mchezo wao …
-
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Jkt Tanzania uliofanyika Mei 5 2025 katika uwanja wa Meja …
-
Klabu ya Simba Sc leo April 5 2025 inarudi tena uwanjani kuvaana na wenyeji wao maafande wa JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc utakaofanyika majira ya saa …
-
Klabu ya Yanga sc imeshindwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Jkt Tanzania uliofanyika katika uwanja wa Mbweni jijini Dar es …
-
Ikitoka kushinda mchezo mgumu wa Kariakoo derby dhidi ya Simba Sc siku ya Jumamosi Oktoba 19,Klabu ya Yanga sc imeendeleza Ubabe katika ligi kuu ya soka ya Nbc nchini baada …
-
Kikosi cha klabu ya Azam Fc kimelazimishwa suluhu ma klabu ya Jkt Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika katika uwanja wa Meja Jenerali Isamhyo uliopo Mbweni …
-
Baada ya Klabu ya Simba kutangaza kuachana na John Bocco kama mchezaji wa kikosi chao katika msimu mpya wa 2024/25 huku ikitangaza kumpa mikoba ya kuwa kocha mkuu wa Kikosi …
-
Klabu ya Azam Fc imezidi kujihakikishia nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu nchini baada ya kuibamiza Jkt Tanzania kwa mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Mei 21 katika uwanja …
-
Bao la Cletous Chama dakika ya 33 ya kipindi cha kwanza limeifanya Simba sc kuibuka na ushindi wa alama tatu katika mchezo wa ligi kuu baina ya timu hiyo dhidi …