Mchezo ujao wa Ligi Kuu baina ya Klabu ya Simba sc dhidi ya JKT Tanzania FC utapigwa Alhamisi Februari 15, 2024 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo …
jkt tanzania
-
-
Pamoja na tambo nyingi sasa Mashujaa Fc ya mkoani Kigoma imekubali kipigo cha 1-0 kutoka kwa Jkt Tanzania katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Ccm Kambarage mkoani …
-
Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya sita inaendelea leo Octoba 14,ambapo timu nane zitavaana katika viwanja vinne tofauti kwaajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Raundi ya tano ilimalizika na kuwaacha …
-
Simba Sc imewapa kichapo cha mabao 4-0 JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tano ya ligi kuu bara uliochezwa jana uwanja wa Jamuhuri mkoani Dodoma majira ya Saa 8:00mchana. …
-
Kikosi cha Simba Sc kimesema kuwa kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo utakaopigwa uwanja wa Jamhuri dhidi ya JKT Tanzania ikiwa ni mchezo wa raundi ya tano ligi …
-
Simba Sc imeibuka na kauli mbiu mpya kuelekea mechi ya watani wa jadi itakayochezwa Octoba 18 mwaka huu uwanja wa Uhuru jijini Dar-es-salaam na matokeo yatakayopatikana ambayo ni ‘Zin Zala …
-
Ligi kuu bara inaendelea leo ambapo raundi ya nne inakamilika kwa mechi moja kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani majira ya saa 10:00 jioni kati ya Coastal Union inayonolewa na Juma Mgunda dhidi …
-
Klabu ya Yanga mapema leo asubuhi iliwasili katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma baada ya kupata mwaliko. Timu hiyo iliwasili ikiwa imeambatana na Mkurugenzi wa Uwekezaji …
-
Kocha msaidizi wa Mtibwa Sugar ,Patrick Mwangata amewaasa wachezaji nchini kumuiga nahodha wa Taifa Stars,Mbwana Samatta katika suala la nidhamu na uvumilivu pale wanapopata maisha ya soka nje ya nchi. …
-
Uongozi wa klabu ya Jkt Tanzania leo Machi 18,2020 umevunja kambi yake kutokana na maelekezo yaliyotolewa jana na Serikali kupitia kwa waziri mkuu Kasim Majaliwa kuhusu zuio la kuwepo kwa …