Connect with us

All posts tagged "FIFA"

  • Fifa Yaipiga Nyundo Kaizer Chiefs

    Shirikisho la soka duniani(Fifa) limeipa adhabu ya kutosajili mchezaji yeyote klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika ya kusini...

  • Al-Masry Wafungiwa Miezi 18

    Shirikisho la kandanda duniani FIFA, limeifungia klabu ya Al Masry ya Misri kutosajili katika madirisha matatu yajayo kwa kosa la kumsajili...

  • Ronaldo Akaribia 100

    Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amefikisha idadi ya magoli 98 katika timu yake ya taifa pamoja...

  • Wenger Aula Fifa

    Kocha wa zamani wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa maendeleo ya soka duniani na shirikisho la mpira...

  • Malinzi Kifungoni Miaka 10

    Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) limemfungia kwa miaka kumi (10) aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania Jamal Malinzi baada ya...

  • 27 Stars Kuivaa Guinea

    Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja Kikosi kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Equatorial Guinea...

  • Karata ya Mwisho

    Timu ya Chelsea imepewa nafasi ya kusikilizwa kwa rufaa yao ya kufungiwa kufanya usajili kwa madirisha mawili na shirikisho la soka...

  • Tanzania Yapaa Viwango Fifa

    Kufuatia shirikisho la soka duniani(Fifa) kutoa viwango vya mwezi oktoba timu ya taifa ya Tanzania imepanda viwango kwa nafasi mbili zaidi...

  • Fifa Kuishushia Rungu Uganda

    Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA) limetoa onyo kwa nchi ya Uganda kuwa litaifungia kujihusisha na masuala ya soka ikiwa serikali ya...

  • Fifa Yakana Kumbeba Messi

    Shirikisho la soka duniani (fifa) limekana kumbeba staa wa Argentina Lionel Messi ili kutangazwa mchezaji bora wa dunia kwa upande wa...

More Posts