All posts tagged "Featured"
-
Makala
/ 2 weeks agoCoastal Union Yakabidhiwa Basi Jipya
Klabu ya soka ya Coastal Union yenye makazi yake jijini Tanga imekabidhiwa basi jipya aina ya Youtong na benki ya biashara...
-
Makala
/ 2 weeks agoKelvin John Atua Taifa Stars
Nyota wa Aalborg BK ya Denmark Kelvin John tayari amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania ambayo imekita kambi...
-
Makala
/ 2 weeks agoStraika Mkenya Atimka Coastal Union
Nyota wa kimataifa wa Kenya Abdallah Hassan ameachana na klabu ya Coastal Union baada ya kufikia makubaliano ya Pande zote mbili....
-
Makala
/ 2 weeks agoYanga Princess Yaibuka Mbabe Kwa Simba Queens
Klabu ya wanawake ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu muhimu mbele ya Simba queens baada ya kuifunga kwa bao 1-0...
-
Makala
/ 2 weeks agoMayanga Kutua Mashujaa Fc
Klabu ya Mashujaa United imefanikiwa kumng’oa kocha Salum Mayanga katika klabu ya Mbeya City Fc kuja kuchukua nafasi ya ukocha mkuu...
-
Makala
/ 2 weeks agoKumekucha Bunge Marathon
Waandaaji wa mbio za Bunge Marathon wamesema wameandaa mpango maalumu wa kukuza mchezo wa riadha kupitia mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika hivi...
-
Makala
/ 2 weeks agoBacca Apadishwa Cheo KmKm
Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM) kimempandisha cheo nyota wa timu ya Yanga Sc Ibrahim Hamad “Ibra Bacca” kutoka Koplo...
-
Makala
/ 3 weeks agoBodi Yagomea Alama Tatu za Yanga sc
Bodi ya Ligi Kuu imeijibu barua iliyoandikwa na klabu ya Yanga sc ambayo ilikuwa inataka ipewe alama 3 na mabao 3...
-
Makala
/ 3 weeks agoBanda Kuvuna Mamilioni Richard Bay
Beki Mtanzania Abdi Banda anajiandaa kupokea Mamilioni kutoka katika Klabu ya Richard Bay inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika ya kusini baada...
-
Makala
/ 3 weeks agoAli Hassan Mwinyi Yafunguliwa na TFF
Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limeufungulia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo mkoani Tabora baada ya kufanyiwa marekebisho kwa mujibu...