All posts tagged "Featured"
-
Soka
/ 3 years agoCONTE kutua SPURS
Kocha wa zamani wa vilabu vya Juventus,Chelsea na Inter Milan Antonio Conte amefikia makubaliano ya msingi na klabu ya Tottenham Hotspurs...
-
Soka
/ 3 years agoREDONDO AITWA STARS
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Biashara United ya Mara Ramadhan Chombo ‘Redondo’ amitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania...
-
Soka
/ 3 years agoOLE KUMFUKUZISHA KAZI KOCHA SPURS
Hali tete wa kocha mkuu wa kikosi cha Tottenham Hotspurs ya Uingereza Nuno Espirito Santo kwani muda wowote anaweza kufutwa kazi...
-
Soka
/ 3 years agoXAVI KUMRITHI KOEMAN BARCELONA
Mchezaji wa zamani wa FC Barcelona Xavi Hernandes ndiye kocha anayetajwa kuwa karibu zaidi kurejea katika timu hiyo na kuwa mkufunzi...
-
Soka
/ 3 years agoSimba mikononi mwa Wazambia,Biashara matumaini bado yapo
Klabu ya soka ya Simba imepangwa kucheza dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika hatua ya mwisho ya kombe la shirikisho...
-
Soka
/ 3 years agoOLE BADO YUPO SANA OLD TRAFFORD
Uongozi na vigogo wa Man Utd ukiongozwa na Sir Alex Ferguson umempa nafasi ya mwisho mkufunzi wa timu hiyo Ole kuiongoza...
-
Soka
/ 3 years agoOLE akalia kuti kavu Man Utd
Kocha mkuu wa klabu ya soka ya Manchester United ya nchinu Uingereza Ole Gunnar Solskjaer yupo hatarini kupoteza kibarua chake mara...
-
Soka
/ 3 years agoNdayiragije aachishwa kibarua Geita Gold Fc
Baada ya kuanza ligi kwa kusuasua uongozi wa klabu ya Geita Gold Fc umefikia makubaliano ya pande zote mbili kusitisha mkataba...
-
Soka
/ 3 years agoMzambia atupia nne Europa league
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia Patson Daka anayeichezea klabu ya Leicester city ya Uingereza ameifungia timu yake magoli manne(4) katika ushindi...
-
Soka
/ 3 years agoAnsu Fati asaini mkataba mpya Barca
Mshambuliaji kinda wa FC Barcelona Ansu Fati amesaini mkataba wa miaka sita kuendelea kukipiga katika viunga vya Nou Camp hadi mwaka...