All posts tagged "Featured"
-
Makala
/ 3 months agoGamondi Aondoka Nchini
Aliyekua kocha wa klabu ya Yanga sc Miguel Gamondi mapema leo ameondoka nchini kuelekea nyumbani kwao nchini Argentina kwa mapumziko mafupi...
-
Makala
/ 3 months agoYanga Sc Hoi Cafcl
Klabu ya Yanga sc imekubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Al Hilal Fc ya nchini Sudan katika mchezo wa kwanza...
-
Makala
/ 3 months agoTPLB Yabariki Yanga Sc Kuhamia Kmc Stadium
Bodi ya ligi kuu nchini (Tplb) imebariki uamuzi wa klabu ya Yanga sc kumtumia uwanja wa Kmc Complex uliopo Mwenge jijini...
-
Makala
/ 3 months agoAussems,Kitambi Wasimamishwa Singida Bss
Klabu ya Singida Black Stars imewasimamisha makocha wake Patrick Aussems ambaye ni kocha mkuu sambamba na msaidizi wake Dennis Kitambi kutokana...
-
Makala
/ 3 months agoSingida Bss Vs Tabora United ubabe Ubabe
Ni ubabe kwa kwenda mbele ndio ulitawala katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini baina ya Tabora United dhidi ya...
-
Makala
/ 3 months agoSimba Sc Yaachana na C.e.o Mrwanda
Klabu ya Simba Sc imemtangaza Bi Zubeda Hassan Sakuru kuwa Kaimu mtendaji mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Francois Regis...
-
Makala
/ 3 months agoGamondi Anukia Apr ya Rwanda
Kwa mujibu wa taarifa nyingi kutoka Kigali nchini Rwanda inaelezwa aliyekua kocha wa klabu ya Yanga sc Miguel Gamondi upo uwezekano...
-
Makala
/ 3 months agoMinziro Aikataa Penati ya Simba Sc
Kocha wa klabu ya Pamba Jiji ya jijini Mwanza Fred Felix Minziro ameikataa penati iliyopewa klabu ya Simba Sc katika mchezo...
-
Makala
/ 3 months agoAteba Aimaliza Pamba Jiji Fc
Bao la penati dakika ya 23 la Lionel Ateba limeiwezesha klabu ya Simba Sc kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi...
-
Makala
/ 3 months agoUtata Wazuka Simba Sc Vs pamba Jiji
Presha ya mchezo wa ligi kuu baina ya klabu za Pamba Jiji dhidi ya Simba Sc utakaofanyika jioni ya leo imezidi...