All posts tagged "epl"
-
Makala
/ 5 years agoEpl Washirikisha Polisi Kutoa Mawazo
Kundi la vilabu vya ligi kuu vimepanga kufanya mazungumzo na vikosi vyao vya polisi wiki hii kwa matumaini ya kuwa wazo...
-
Makala
/ 5 years agoTarehe Za Vikao Vya Kurejesha Soka Uingereza
Zifuatazo ni tarehe muhimu katika juhudi za kurejesha soka la Uingereza katika kipindi hiki cha Janga la Covid-19, hiyo ni mara...
-
Makala
/ 5 years agoAubameyang Kutua Real Madrid Ni Ahadi
Mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyanga amewapa mashabiki wa Arsenal kidokezi kuwa muda wake wa kuhudumu tena Emirates umekaribia kufika tamati kwa kuwa anatawaliwa...
-
Makala
/ 5 years agoJezi Ziandaliwe-Manchester United
Ligi Kuu ya England inaweza kurejea Juni 8 ambapo kutakuwa na maandalizi mafupi ya muda wa wiki tatu kwa timu kushiriki...
-
Makala
/ 5 years agoBarcelona Waanza Mazoezi
Mabingwa wa La Liga,Barcelona siku ya jana walirejea kwenye uwanja wao wa mazoezi uliopo katika mji mkuu wa Catalan wakiwemo Lionel...
-
Makala
/ 5 years agoAguero Kusepa Man City
Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho pale mkataba wake utakapofika tamati mwaka 2021 na inaelezwa...
-
Makala
/ 5 years agoMastaa Barca Wapimwa Corona
Wachezaji wote wa Barcelona wamepimwa na hakuna aliyekutwa na virusi vya Corona ,vipimo vilichukuliwa jana wakati wakiwasili uwanjani kwa ajili ya...
-
Makala
/ 5 years agoKisa Corona,Wachezaji Wapata Hofu
Mshambuliaji wa Manchester City nchini Uingereza, Sergio Aguero amesema kuwa wanahofia kurejea uwanjani wakati huu ambapo janga la Covid-19 halijadhibitiwa vilivyo...
-
Makala
/ 5 years agoLa Liga Kuanza Rasmi Mazoezi Jumatatu
Wakati England na baadhi ya timu zikianza mazoezi kwa ajili ya kuangalia mustakabali wa kuendelea kwa msimu huu, timu za Hispania...
-
Makala
/ 5 years agoPSG,Tutaendeleza Ligi Nje Ya Ufaransa
PSG imesema kuwa itacheza michezo yake ya Ligi ya mabingwa Ulaya nje ya Ufaransa kwa kuwa nchi hiyo imezuia michezo hadi...