Connect with us

Soka

Yanga,Kmc Kupasha Mwili Joto

Katika harakati za kujiandaa na Ligi kuu Tanzania bara inatyotarajiwa kuanza Juni 13 timu za Yanga na Kmc zitacheza mchezo wa kirafiki siku ya jumapili juni 7 jijini Dar es salaam.

Mechi hiyo itakayokua ya kwanza ya kirafiki kwa timu za ligi kuu tangu Serikali iruhusu shughuli za michezo kutokana na kupungua kwa maambukizi ya Virusi vy Corona vinanavyosababisha ugonjwa wa homa ya mapafu(Covid-19).

Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ikizingatiwa katika mchezo uliopita wa ligi kuu nchini Yanga ilifungwa na kmc licha ya kuwa ilikua imetoka kuifunga Simba sc kwa bao 1-0.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka