Connect with us

Soka

Yanga Yaishusha Lipuli Fc

Ushindi wa bao mojam ilioupata klabu ya Yanga sc dhidi ya Lipuli Fc umeishusha daraja klabu hiyo rasmi na mwakani itacheza ligi daraja la kwanza.

Bao hilo lilifungwa na David Molinga dakika ya 38 lilidumu mpaka dakika 90 za mchezo huo na kuwafanya mashabiki waliofurika uwanja wa Samora kutoka vichwa chini baada ya timu yao ya Lipuli kushuka daraja.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka