Connect with us

Soka

Yanga Kuwafuata Mwadui Ligi Kuu

Ratiba ya ligi kuu Tanzania bara inaonyesha kwamba ligi hiyo inatarajiwa kurejea mwezi huu tarehe 13 ambapo michezo mbalimbali inatarajiwa kuchezwa katika hatua za nyumbani na ugenini.

Klabu ya Yanga itaifuata timu ya Mwadui Fc katika mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Kambarage jijini Shinyanga huku ikwa tayari imeshaanza mazoezi chini ya Bonifasi Mkwasa.

Klabu hiyo ambayo jana imesaini Rasmi mkataba kuelekea katika mfumo wa mabadaliko itasafiri kuelekea Shinyanga ikiwa na hatari ya kumkosa kocha mkuu Luc Eymael ambaye hajawasili mpaka sasa kufuatia kufungwa kwa baadhi ya viwanja vya ndege kudhibiti maambukizi ya Corona barani Ulaya.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka