Connect with us

Soka

Var Kutumika Simba sc Vs Orlando

Mchezo wa hatua ya robo fainali kati ya Simba sc dhidi ya Orlando Pirates utakaofanyika nchini Aprili 17 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam utafungwa mitambo ya refa wa usaidizi kwa njia ya video (Video Assistance Reffaree) ambapo itakua kwa mara ya kwanza uwanjani hapo na nchini kwa ujumla.

Kwa mujibu wa utaratibu uliowekwa na Caf kwa mechi za hatua za robo fainali katika michuano yote ya klabu bingwa na kombe la shirikisho,Kwa mujibu wa utaratibu wa Var inatarajiwa za camera za video katika ya 33 na 38 itafungwa huku kukiwa na Camera zaidi ya 14 kati ya hizo zitakua na kazi maalumu ambapo Camera 8 zitakua za mwendo hafifu(slow Motion) na 4 zikiwa za mwendo hafifu zaidi (Ultra slow motion) na Camera mbili zitakua kwa ajili ya Offside.

Mchezo huo unatarajiwa kuvutia mashabiki wengi zaidi kutokana na uwepo wa mitambo hiyo kwa mara kwanza nchini ambapo mchezo wa marudiano ukipangwa kufanyika April 24 nchini Afrika Kusini.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka