Connect with us

Soka

Ulimwengu Aikana Yanga

Mchezaji wa zamani wa Tp Mazembe na mshindi mara  moja wa kombe la klabu bingwa barani Afrika Thomas Ulimwengu amekanusha taarifa za yeye kujiunga na mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu nchini Yanga sc.

Mchezaji huyo mwenye nguvu na kasi amekanusha taarifa hizo kupitia mtandao wa kijamii ambapo aliandika “Nimesikia tetesi za nikihusishwa kujiunga na timu moja ya Tanzania,Hizo taarifa sio za kweli” aliandika Ulimwengu.

Ulimwengu hivi karibuni inadaiwa amechana na timu yake ya Js Soura ya nchini Algeria baada ya kukubaliana kuvunja mkataba.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka