Connect with us

Soka

Ukaguzi viwanja TPL Agosti 30

Mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Almasi Kasongo amesema kuwa ukaguzi wa viwanja vyote vitakavyotumika na timu zitakazoshirirki ligi kuu bara utaanza rasmi Agosti 30 mwaka huu.

Ukaguzi huo ni masharti ya mkataba wa udhamini walioingia na Azam media kuhakikisha viwanja vinakuwa katika hali nzuri ligi itakapoanza.

Kwa mujibu wa mkataba waliosaini TFF,bodi ya ligi na Azam media timu zitakazokuwa zinatumia viwanja visivyoridhisha kwaajili ya urushaji wa matangazo ya televisheni vittahamishwa kuchezxa viwanja hivyo hadi vitakapofanyiwa maboresho,hivyo wamiliki wa viwanja na timu za nyumbani zinapaswa kuhakikisha ubora kuepuka kufungiwa kwa viwanja hivyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka