Connect with us

Soka

Thadeo Lwanga ni Mnyama

Klabu ya Simba sc imemsajili kiungo Thadeo Lwanga kwa mkataba wa miaka miwili akiwa kama mchezaji huru ambapo atachukua nafasi ya Gerson Fraga aliyetemwa baada ya kuwa majeruhi.

Mchezaji huyo  amewahi kuzichezea timu za Express FC, SCV Kampala, Vipers FC na Tanta FC hivyo uzoefu wake na uwezo wake ndani ya uwanja ni sababu ya kupewa dili ndani ya Simba.

Mwina Kaduguda mmoja wa viongozi wa juu wa klabu hiyo ndiye aliyemtambulisha kiungo huyo mkabaji mbele ya waandishi wa habari.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka