Connect with us

Soka

Sadney Aonekana Yanga

Straika Mnamibia wa klabu ya Yanga Sadney Urikhob ambaye inadaiwa ametoweka klabuni hapo ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam.

Awali baadhi ya vyombo vya habari viriripoti taarifa kuhusu staa huyo kutoweka katika klabu hiyo lakini leo ameonekana katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Alliance fc jijini Mwanza.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka