Connect with us

Soka

Namungo Yaachana na Mastaa Simba sc

Timu ya Namungo Fc imeamua kuachana na masta waliokua wakiitumikia klabu hiyo kwa Mkopo kutoka Simba sc Mohamed Ibrahim na Paul Bukaba kutokana na kuonyesha utovu wa nidhamu uliokithiri.

Awali mastaa hao kulikua na mpango wa kuwasajili moja kwa moja baada ya muda wa mkopo kuisha kutokana na mchango wao katika klabu hiyo lakini kutokana na mfululizo wa matukio ya utovu wa nidhamu ikiwemo kutoripoti kambini mpaka sasa kuelekea katika mechi ya ligi kuu dhidi ya Coastal Union.

Inadaiwa wachezaji hao wapo jijini Dar es salaam huku ikiwa haifahamiki chanzo hasa cha kutoripoti kambini huku wakiwa hawapokei simu za viongozi wa Namungo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka