Connect with us

Soka

Man Utd Wachapwa Tena

Klabu ya Manchester United imeendelea kuwa na matokeo ya kusuasua baada ya jana kukubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya  Instabull BB katika mchezo wa kundi H katika michuano ya klabu bingwa barani ulaya.

Man utd iliruhusu mabao mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa Demba Ba  12′ na Visca 40′ ambapo licha Anthony Martial kujitahidi kufunga bao mwanzoni mwa kipindi cha pili lakini mpaka filimbi ya mwisho matokeo yalibaki 2-1.

Hii ni mechi ya pili mfululizo kwa mkufunzi Olle Gunnar Solskjaer kupoteza na kuendelea kuiweka rehani nafasi yake kikosini hapo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka