Connect with us

Soka

Kocha Wa Makambo,Kwasi Atimuliwa

Klabu ya Horoya AC ya Guinea imemtangaza Lamine N’diaye raia wa Senegal kuwa kocha Mkuu akichukua nafasi ya mfaransa Didier Gomes da Rosa aliyefurushwa.

N’diaye aliwahi kuvinoa vilabu vya Garoua,Al Hilal Omdurman, Maghreb Fez, TP Mazembe na timu ya taifa ya Senegal.

Wachezaji waliocheza ligi kuu ya Tanzania, Heritier Makambo(Yanga),Enock Atta( Azam),Asante kwasi (Lipuli,Simba) na Tafadzwa Kutinyu(Singida United,Azam),sasa wote wanacheza ligi kuu ya Guinea katika timu hiyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka