Connect with us

Soka

Kocha Namungo Kutua Yanga sc

Inaelezwa kuwa klabu ya Yanga sc imemalizana na kocha wa klabu ya Namungo Hitimana Thierry kwenda kuwa msaidizi wa kocha Luc Eymael klabuni hapo.

Hitimana ambaye alishafanya kazi na Luc katika klabu ya Rayon Fc nchini Rwanda ambapo inadaiwa kocha huyo tayari amekubali dili hilo kutua mitaa ya Twiga na Jangwani mjini Kariakoo.

Luc amedai kutowahitaji wasaidizi wake kadhaa akiwamo Bonifasi Mkwasa pamoja na Peter Manyika katika benchi la ufundi klabuni hapo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka