Connect with us

Soka

Hakijaeleweka Bado

Nahodha wa klabu ya Yanga sc Papy Tshitshimbi mpaka sasa bado hajasaini mkataba mpya na klabu hiyo licha ya kupewa mkataba huo toka miezi miwili iliyopita.

Inadaiwa nahodha huyo anataka kiasi cha milioni 80 ili asaini mkataba huo wa miaka miwili huku Yanga kupitia mdhamini wao Gsm wakiwa tayari kutoa milioni 60 huku pande zote mbili zikiwa zimegoma kushusha masharti hayo.

Hata hivyo klabu hiyo imeshaanza kutafuta mbadala wa kiungo huyo ambapo ipo katika harakati za kumsajili kiungo Ally Niyonzima kutoka nchini Rwanda.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka