Connect with us

Soka

CAF waruhusu mashabiki michuano Afrika

Shirikisho la mpira wa miguu Afrika(CAF) limetoa taarifa ya kuruhusu mashabiki wachache kuhudhuria michezo ya klabu bingwa pamoja na ile ya kombe la shirikisho barani Afrik katika hatua hii ya pili ya mtoano kufuzu makundi.

Taarifa hiyo imetolewa na shirkisho la mpira wa miguu nchini(TFF)

Kwa hatua hiyo ni fursa kwa vilabu vya Tanzania kupata nguvu ya mashabiki wake katika kuongeza hali ya upambanaji na kupata matokeo mazuri katika mechi za nyumbani.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka