Connect with us

Soka

Bigirimana Awasubiri Simba sc

Mshambuliaji wa timu ya Namungo FC, Bigirimana Blaise amesema mchezo wa kesho dhidi ya Simba utakuwa mgumu lakini wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri katika nafasi tatu za juu.

Namungo inashika nafasi ya nne ikizidiwa pointi moja na Yanga sc yenye pointi 60 huku ikitakiwa ishinde mechi hiyo dhidi ya mabingwa mara tatu mfululizo Simba sc ili kujiwekea mazingira mazuri ya kushiriki michuano ya kimataifa mwakani.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka