Connect with us

Soka

Barca Hali Tete

FC Barcelona hawana bajeti ya usajili kwa msimu wa kiangazi na wanaweza kutegemea tu pesa zitakazopatikana kupitia mauzo ya wachezaji watakaouzwa dirisha kubwa la usajili kutokana na athari za  janga la virusi vya Corona.

Rais wa klabu hiyo Maria Bartomeu inasemekana amepanga kiasi cha Euro Milioni 60 kwa ajili ya usajili katika majira ya joto lakini hela hiyo itapatikana baada ya baadhi ya wachezaji kuuzwa.

Ikumbukwe Barca inataka kumsajili mshambuliaji wa Intermilan Lautaro Martinez ambaye gharama yake inakadiriwa kuzidi paundi milioni 50 huku pia msimu uliopita ilitumia paundi milioni 250 kuwasajili

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka