Connect with us

Soka

Aggrey Apigwa Rungu

Beki wa Klabu ya Azam Fc Agrrey Moris amepigwa Faini ya kiasi cha Tsh.200,000/=(Laki Mbili) kwa kosa la kugoma kuongea na waandishi wa habari mara baada ya mchezo kumalizika katika mechi iliyochezwa Februari 05,2020 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Adhabu hii imetolewa kwa mujibu wa Kanuni namba 38(18) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Wachezaji ambapo beki huyo aligoma kuongea na waandishi baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Prisons Fc.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka