Connect with us

Soka

Acheni Bla Bla-Eymael

Licha ya kuzagaa kwa taarifa za klabu ya Yanga kumhitaji kiungo wa Simba sc Cletous Chama,Kocha wa klabu ya Yanga sc Luc Eymael amedai hizo ni bla bla za usajili na wala hakuna mpango huo.

Kocha huyo mbeligiji amethibitisha kwamba tayari ameshakabidhi ripoti yake kwa uongozi na hakuna jina la kiungo huyo Mzambia ambaye amesababisha Simba kukimbilia kushtaki Shirikisho la soka nchini(Tff).

Kwa mujibu wa kocha huyo tayari ameshabainisha majembe muhimu ya kusajili hasa wa nafasi ya ushambuliaji kuja kuiongezea nguvu timu hiyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka