Connect with us

Masumbwi

Nguo Zamponza Wilder

Bondia Mmarekani, Deontay Wilder, amesema uzito wa nguo alizovaa ndio sababu kubwa ya yeye kupoteza pambano lake dhidi ya bondia, Tyson Fury.

Bondia huyo mwenye vituko, alivaa nguo zilizotengenezwa na ngozi kama zile zilizovaliwa na jeshi la warumi hapo zamani za kale.

“Nilipofika raundi ya tatu, miguu yote iliisha nguvu. Nguo zile ndio zilizosababisha kwani zilikuwa na kilo nyingi, hivyo nilichoka kabla hata sijaingia ulingoni”.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Masumbwi