Connect with us

Masumbwi

Dulla Mbabwe,Twaha Kiduku hatoki mtu PAYBACK NIGHT

Lile pambano lililokuwa likisubiriwa kwa hamu na wapenzi na wadau wa ngumi nchini Tanzania kati ya Mzaramo Dulla Mbabe na Mpogoro Twaha Kiduku hatimaye kupigwa hii leo Ubungo Plaza Jijini Dar es salaam.

Pambano hilo la uzito wa juu litaenda kumaliza ubishi wa siku nyingi kuwa ni nani mbabe kati ya mabondia hao wakubwa nchini hasa baada ya mapambano mawili ya mwanzo yakimwendea vizuri Kiduku,hivyo ni la kisasi kwa Dulla Mbabe anayepigania hatma yake katika tasnia ya masumbwi.

Takribani mapambano 12 yanatariwa kufanyika hii leo huku pambano hilo kubwa likihusisha kugombaniwa kwa Crown Athlete licha ya mkwanja mrefu watakaokunja mabondia hao.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Masumbwi