Connect with us

Makala

Wawili Waliosajiliwa Simba Wawekwa Kitimoto

Ishu ya ITC kuhusu wachezaji wawili waliosajiliwa Simba kwenye dirisha dogo msimu huu ambao ni Shiza Kichuya na Luis Miquissone bado inasubiri maamuzi kutoka FIFA.

Shiza Kichuya aliyekuwa akikikipiga Misri na Luis Miquissone aliyekuwa akikipiga UD do Son imeeleza kuwa bado wanasubiri maamuzi kutoka Kamati ya hadhi ya wachezaji ya FIFA ambayo ipo hivi:-

ITC ya Shiza Kichuya ilitolewa na shirikisho la soka la Misri lakini baadae ikasitishwa hivyo kwasasa yanasubiriwa maamuzi ya Kamati ya hadhi za wachezaji ya FIFA kuhusu jambo hilo.

Pia ITC ya Luis Moquissone bado haijatolewa ila jambo hilo linafanyiwa kazi na FIFA kwani walihitaji maelezo zaidi na yalishatumwa Jumamosi iliyopita.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala