Connect with us

Makala

Watatu Watemwa Mazima Azam Fc

Ofisa mtendaji mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ amesema kuwa wamewaacha nyota wao watatu ndani ya kikosi hicho ikiwa ni mpango wa kufanya maboresho ndani ya kikosi hicho.

Popat amesema kuwa katika mapendekezo ya kocha Arstica Cioaba ambaye anahitaji kuwa na kikosi bora msimu ujao ameamua kuachana na Donald Ngoma, Emmanuel Mvuyekure na Razack Abarola ambao mikataba yao imeisha.

Jana, Julai 30, Azam FC ilimtambulisha kiungo Awesu Awesu kwa dili la miaka miwili akiwa ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Kagera Sugar ambaye pia alikuwa kwenye rada za Yanga.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala