Connect with us

Makala

Suarez Atua Atletico Madrid

Barcelona wamekubali kumwachia mshambuliaji wao,Luis Suarez kujiunga na washindani wakuu wa ligi kuu ya Uhispania (Laliga),Atletico Madrid.

Suarez ametumia miaka sita ndani ya Barcelona ambapo amecheza jumla ya mechi 283 akifunga mabao 198 huku akiwa miongoni mwa utatu wa MSN akiwa na Messi, yeye mwenyewe Suarez na Neymar ndani ya Barcelona.

Atletico wameweka mezani takribani milioni 448 kwa minajili ya huduma za Suarez ambazo pia zinaweza kuongezeka iwapo ataongoza kikosi hicho kupiga hatua zaidi kwenye soka ya klabu ya mabingwa  Ulaya (UEFA).

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala