Connect with us

Makala

Skudu Kutua Nchini

Ofisa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali Shaban Kamwe amesema kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo raia wa Afrika Kusini Skudu Makudubela atarejea nchini mapema hii leo.

Kamwe amesema kuwa  Skudu amekamilisha swala lake la hati ya kusafiria lililompeleka Afrika Kusini na tayari mchezaji huyo ameshapona na kama kocha akiamua kumtumia Jumamosi ni juu yake.

“Skudu kweli alisafiri kwenda Afrika Kusini na kesho Ijumaa atarejea nchini Kocha Gamondi akitaka kumtumia Jumamosi ni maamuzi yake , amepona kabisa na tuliwaaambia amekwenda kushugulikia passport yake ya kusafiria”Alisema Ally Kamwe

Skude amekua maarufu nchini yangu ajiunge na klabu hiyo hasa kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kuuchezea mpira kwa mbwembwe na staili tofauti tofauti.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala