Connect with us

Makala

Sane Awindwa Na Timu Mbili

Timu ya Juventus inafikiria kuinasa saini ya Leroy Sane ambaye ni mchezaji wa Manchester City.
Sane ambaye ni raia wa Ujerumani amewekwa kwenye rada za Bayern Munichen ambao kwa muda mrefu walikuwa wanahitaji kuipata saini yake kabla hajapata majeruhi kwenye mchezo wa ngao ya Jamii mwezi Agosti.
Bayern Munichen wapo kwenye mpango wa kurejea mezani kuipata saini ya nyota huyo na inaelezwa itakutana na upinzani mkubwa kutoka kwa timu nyingine zinazoiwinda saini ya mchezaji huyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala