Connect with us

Makala

Pierre Ajifunga Miaka Mitano Tottenham

Tottenham Hotspurs  imekamilisha usajili wa kiungo Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton kwa dili la miaka mitano baada ya utaratibu wa vipimo kukamilika.

Pierre amejiunga na klabu hiyo kwa dau la thamani ya milioni 20 kuitumikia timu hiyo akitokea Southampton akiwa na umri wa miaka 25.

Tottenham imemkabidhi jezi namba tano nyota huyo ambayo ataitumia msimu ujao wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu England.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala