Connect with us

Makala

Pepe Hakuwa Chaguo Langu-Unai

Kocha Mkuu wa zamani wa klabu ya Arsenal ,Unai Emery amesema kuwa hakuwa anahitaji saini ya Nicolas Pepe kwani alikuwa hajakomaa na hawezi kutafuta matokeo binafsi ndani ya Uwanja isipokuwa alikuwa anaitaka saini ya Wilfried Zaha ambaye ni staa kwenye kikosi cha Crystal Palace.

Arsenal ilivunja rekodi ya usajili wa Pepe kutoka Lille kwa dau la pauni milioni 72, Agosti mwaka jana lakini amekuwa na uwezo wa kupwa na kujaa ndani ya klabu hiyo.

Unai alipigwa chini Novemba baada ya kudumu ndani ya Arsenal kwa muda wa msimu mmoja na nusu na nafasi yake kuchukuliwa na Mikel Arteta.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala