Connect with us

Makala

Paulo Dybala Avunja Ukimya.

Mchezaji wa Juventus Paulo Dybala avunja ukimya baada ya tetesi kusemekana kuhitaji kuhamia Manchester United na Tottenham.

Juventus wanahitaji kumpa mkataba mpya Paulo Dybala na upo mezani kwa sasa japo Manchester United pia wanamuhitaji.

Matamanio makubwa ya Manchester United ni kumsajili mchezaji huyo tangu 2019 katika mpango wa kubadilishana na Romelu Lukaka.

Tafrani kubwa ilitokea baada ya Manchester United kumsajili Alexis Sanchez.

Man united  walisema kuwa “Tupo radhi kumchukua Paulo Dybala au Anthoine Grezmann badala ya Alexis Sanchez”

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala